Back to top

DKT SHEIN AKUTANA NA UONGOZI WA JUU WA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE.

04 April 2018
Share

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi , Dk. Ali Mohemed Shein, akizungumza na uongozi wa juu wa ChuoCha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere ulioongozwa na Mwenyekiti wa bodi hiyo, Prof Mark Mwandosya wakati uongozi wa chuo hicho ulipofika Ikulu ya Zanzibar kwa Mazungumzo .

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi , Dk. Ali Mohemed Shein, akiprana mikono na Mwenyekiti wa bodi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Prof Mark Mwandosya mara baada ya kufika katika ikulu ya Zanzibar Mark Mwandosya mara baada ya kufika katika ikulu ya Zanzibar

 .

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi , Dk Ali Mohemed Shein,akiprana mikono na Mkuu wa Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere , Prof. Shadrack Mwakalila mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Zanzibar kwa Mazungumzo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi , Dk. Ali Mohemed Shein, akiwa katika picha ya Pamoja na Uongoziwa juu wa Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere ulipofika kumtembelea Ikulu ya Zanzibar .

Comments