Back to top

Rais Dkt. John Pombe Magufuli Azindua Ukuta Mirerani

06 April 2018
Share

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli yupo Mirerani Mkoani Manyara muda huu ambapo atafungua ukuta wa kuzungumza madini ya Tanzanite wenye urefu wa kilometa 24.5 Fuatilia matangazo ya moja kwa moja TBC1 na Azam TV. 

Gerson Msigwa 
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU Leo

Comments