Back to top

Ziara ya mwenyekiti wa Ccm kata ya Ilala

06 April 2018
Share

CHAMA CHA MAPINDUZI KATA YA ILALA 

Ziara ya mwenyekiti wa Ccm kata ya Ilala ndg HABIB NASSER pamoja NA kamati yake ya siasa ya kata Imeendelea katika tawi la Ilala 

Kupokea kero za wanachama kwa wajumbe wa mashina katika tawi hilo 

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

 

Comments