Back to top

Diwani Kigamboni Doto Msawa akabidhi Kiwanja Jumuia ya wazazi DSM.

04 April 2018
Share

Mhe diwani wa Kigamboni doto Msawa akimkabidhi Hati ya kiwanja mwenyekiti wa jumuia ya wazazi mkoa wa Dar es Salam mhe Frank kamugisha kalokola

Kiwanja hicho kime tolewa kwa ajili ya ujenzi wa ofisi ya kisasa ya jumuia ya wazazi wilaya ya Kigamboni.

Pembeni ya mwenyekiti wa wazazi mkoa ni mwenyekiti wa wazazi wilaya ya Kigamboni Greyson Mwikola. Na mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kigamboni kheri chaula

Kidumu Chama Chamapinduzi Ccm jumuia imara ndani ya wilaya ya Kigamboni

Comments