Back to top

RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA MRADI WA KUZALISHA UMEME WA KINYEREZI II

04 April 2018
Share

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi II eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akibofya kitufe kuashiria kuzindua  rasmi mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi II eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo toka kwa Meneja Miradi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Mhandisi Steven Manda kabla ya kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi II eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018 .

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo toka kwa Waziri wa Nishati Dkt. Menard kalemani  kabla ya kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi II eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo toka kwa    Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco Dkt.Tito Mwinuka  kabla ya kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi II eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo toka kwa Meneja Miradi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Mhandisi Steven Manda kabla ya kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi II eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018.

Bila kujali mvua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mamia ya wananchi waliojitokeza kushuhudia akizindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi II eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018.

Comments